Mtaule mgunda
Senior Member
- Jan 25, 2014
- 193
- 61
inaeza kua halali kwani elimu pia ni ghali sana siku izi ila kuna topics zengine mtu unaeza cover tu alone..
NB:ukiona elimu ghali basi jaribu ujinga!
Dah,mie nilishawah toah,45,000 kwa topic moja
hata kwa mkoa hu niliopo mm mkoa wa ruvuma , songea.
HILI SWALI HALIJIBIKI. nani anahakiki uhalali wa kiwango cha malipo na kwa means zipi? tuition ni maelewano. kama mwalimu ni mzuri na unamwelewa vyema mlipe hata 20,000 kwa topic ila kama una hela na kama huna inabidi utafute wa bei nafuu but every choice has consequences, unaweza kuchagua unafuu wa gharama kumbe pia umechagua ubovu wa elimu. unafikiri sayansi mchezo wewe.Naomba msaada wenu wana jf kama title inavyoulza.