Ni halali kulipa 15,000 kwa kila topic ya mathematic ya advance wana jf mliosoma math

Naomba msaada wenu wana jf kama title inavyoulza.


Nilipo ona title nikadhani una zungumzia sub topic bwana !

Kumbe topic daa ni Raha sana aisee ! 15000/=

vi sub topic tu physics kwa mfano measurment 5000/= ni kawaida! Topic nzima ukiambiwa 40,000/= or 50,000/= sio kitu cha ajabu !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…