kichomiz
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 19,257
- 12,244
Wasalaam nduguzanguni!!!
Mimi naomba kueleweshwa juu ya ulipishwaji faini bila kupewa risiti na askari wa usalama barabarani.
Yaani unalipa faini kwa kuandikiwa nofication tu bila risiti je hii ni halali?
Wataalam wa sheria naomba mnielimishe maana sijawahi ona askari wa usalama barabarani akitoa risiti zaidi ya notification.