Ni halali kulipia notification bila kupewa risiti?

kichomiz

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2011
Posts
19,257
Reaction score
12,244
Wasalaam nduguzanguni!!!
Mimi naomba kueleweshwa juu ya ulipishwaji faini bila kupewa risiti na askari wa usalama barabarani.
Yaani unalipa faini kwa kuandikiwa nofication tu bila risiti je hii ni halali?
Wataalam wa sheria naomba mnielimishe maana sijawahi ona askari wa usalama barabarani akitoa risiti zaidi ya notification.
 
Ingawa sio mwanasheria; receipt (stakabadhi) ni ishara ya kwamba umelipa malipo no halali. Notification inaonyesha kosa na faini. Nakushauri nenda kituoni ili upewe stakabadhi ya malipo. Hiyo notification inaweza kutengenezwa mitaani siziamini sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…