St. Paka Mweusi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2010
- 7,956
- 5,149
mwafrika halisi....!!Kuna jamaa mmoja alioa mke mrembo ambaye wazazi wake waliishi kama kilomita 20 toka alipokuwa anaishi jamaa huyo.Tatizo lilijitokeza siku ya kwanza mke alipoingia ndani,ile kuandaa ugali mezani jamaa akagundua kuwa ulikuwa mbichi,ukamwagwa.Siku ya pili,vilevile na ya tatu jamaa akachoka na kuchukua chungu cha ugali kisha akakifunga kwenye baiskeli na talaka mkononi kwenda ukweni.Kufika huko akakabidhi ugali mbichi kama ushahidi na talaka juu.Sasa ndio ninajiuliza ni halali kumwacha mkeo kisa hajui kupika?
malez ya ki st marys ayo kakangu ..kumweka jikon mtoto wa kike na haus gal jikon inaonekana UNAMHUJUMU ni bora abak achat face buku na vduku wenzake matokeo yake ndo hayo
mtu mkubwa form 6 sjui chuo hajui ata kufagia chumba chake kutandka chumba mpk haus gal amtandikie...
anakula vyombo dada atakuja kutoa,anaoga chup dada atafua..
wazaz weng wanadhani wanalea vzuri kwa kumfanya mtoto ashinde seblen muda wote ...mumyyyyyyyyyy n dadddddddddddd nying
Kuna jamaa mmoja alioa mke mrembo ambaye wazazi wake waliishi kama kilomita 20 toka alipokuwa anaishi jamaa huyo.Tatizo lilijitokeza siku ya kwanza mke alipoingia ndani,ile kuandaa ugali mezani jamaa akagundua kuwa ulikuwa mbichi,ukamwagwa.Siku ya pili,vilevile na ya tatu jamaa akachoka na kuchukua chungu cha ugali kisha akakifunga kwenye baiskeli na talaka mkononi kwenda ukweni.Kufika huko akakabidhi ugali mbichi kama ushahidi na talaka juu.Sasa ndio ninajiuliza ni halali kumwacha mkeo kisa hajui kupika?
haha hah si HALALI KUMUACHA kwa sababu kosa si la uyo mke ni la wazazi wake.......
uko sahihi rose, ndo maana hata yeye hakuumpa mkewe talaka bali aliipeleka kwa wazazi (wa mke) maana ndo wenye makosa
ndo wamejazana wengi kweli siku hizi..na wanajiita wana hadhi ya kuwa wa wake za watu... hawana hata aibu!!
Kwa mila za Kiafrika one of the reasonable cause 4 divorce ni uwezo wa mapishi, jamaa alitakiwa aexost means zote kabla ya kumtimua mke wake. Kuna baadhi ya makabila ambayo binti hupewa nyenzo za kujikinga dhidi ya mapishi mabaya.Kuna jamaa mmoja alioa mke mrembo ambaye wazazi wake waliishi kama kilomita 20 toka alipokuwa anaishi jamaa huyo.Tatizo lilijitokeza siku ya kwanza mke alipoingia ndani,ile kuandaa ugali mezani jamaa akagundua kuwa ulikuwa mbichi,ukamwagwa.Siku ya pili,vilevile na ya tatu jamaa akachoka na kuchukua chungu cha ugali kisha akakifunga kwenye baiskeli na talaka mkononi kwenda ukweni.Kufika huko akakabidhi ugali mbichi kama ushahidi na talaka juu.Sasa ndio ninajiuliza ni halali kumwacha mkeo kisa hajui kupika?
yaan utamkuta mdada mkubwa hajui kupika ,rum yake chaafu kitanda akiamka anaacha ivo vo na net yake jion akija anajidumbukiza km anatumbukia kwenye kiota
hajui kupika,kuosha vyombo wala kuoga na kabat lake lipo km sagura sagura ya tandka lakin ukimwona uko nje anajifanya kuact kilady..akisimama apo mbela kupresent pepa yake ahh unaona uyu ndo mwanamke kipangaaa lakin dah home affairs utalia..
stl WANAFUNDSHIKA..KM AMEKUPENDA KWELI UKIMFUNDISHA ATAKUPATA NA ATAKUWA MKE MWEMA NA atafanya kaz zoote
its a shame for an african woman not knowing how to cook......i support the divorce
mnh ngoja nitakuja kwako rose unifundishe kupika..........i can sense danger huko mbeleni:redfaces::redfaces::redfaces::redfaces:
Haya,halafu waume wakisifia chakula alichopika housegirl, mke wa aina hiyo ananuna.
Njoo kwangu nikufundishe hata Rose alijifunzia kwangu alivyojua akanikimbia.
mnh ngoja nitakuja kwako rose unifundishe kupika..........i can sense danger huko mbeleni:redfaces::redfaces::redfaces::redfaces: