Ni halali kumuacha mkeo kisa hajui kupika?

Haya kalale mama,mi namsubira Bacha sijui yeye atasema nini kuhusu huu mgogoro?

ahh bacha hana mpango..NIMEMSIMAMISHA PENZIN KWA MASLAHI YA TAIFA
mwanaume gan kaashindwa kuniletea uyoga ?ata mayai ya kenge kashindwaaaa ahh simtak tena
na ninamsubiri aje apa ....
 
Mapenzi kusahihishana, kufundishana na kueleweshana.
Pia bila uvumilivu hamna penzi.
Hyo jamaa hakuwa muoaji, ndio maana akanyimwa na mpaji, badala ya kupewa gari akapewa baiskeli
 
Mapenzi kusahihishana, kufundishana na kueleweshana.
Pia bila uvumilivu hamna penzi.
Hyo jamaa hakuwa muoaji, ndio maana akanyimwa na mpaji, badala ya kupewa gari akapewa baiskeli

kwa hiyo is it wise to classify women?
kwahiyo type gani ni gari na type gani ni baiskeli?
what happened to kusahihishana,kufundishana na kueleweshana?
 
Mapenzi kusahihishana, kufundishana na kueleweshana.
Pia bila uvumilivu hamna penzi.
Hyo jamaa hakuwa muoaji, ndio maana akanyimwa na mpaji, badala ya kupewa gari akapewa baiskeli




Mapenzi ni kufundishana na kusahihishana sawa,lakini ni wangapi wako tayari kufundishwa?Vipo visa vingi tu ila nitakupa kimoja cha mke aliyemwambia mumewe"Bwana ee si umenikuta hivihivi,kama huwezi kuendelea kula fast food basi ingia mwenyewe jikoni,kisa cha kuniharibia kucha zangu mie?"Sasa hapo kuna kufundishana kweli?
 
Nakubaliana na we Rose,kama mwanamke amekupenda atajifunza kila analopungukiwa for the sake ya huyo anaempenda na uhusiano.Si sahihi kumuacha mwanamke kwa kuwa hajui kupika,vipi sisi tukiolewa na wanaume wasioweza kufanya mapenzi,wanaonuka vikwapa na wachafu,wavivu,waongo,wazinzi?tuwe na si baada ya siku tatu tunawarudisha kwa wazazi???????kama mtu hataki kubadilika sawa but mpe muda na msaidie kuwa mke unayetaka awe.Ni hayo tu.
 

Da Rose Umenena, hasa hapo kwenye red, Ila punguza hasira hasa kwa hilo la kuoga????
 



Hivi mwanamke naye siku hizi anatoa talaka?
 

Huyo jamaa kwanza hakuwa na akili! Haiwezekano mfano mtoto umtoe bukoba afu ampike ugal siku zote hzo tatu! Na kwanini mtoto mzuri umlishe ugal siku tatu?
 
Aka mwenzangu mi napenda kujifunza mambo mazuri na wenzangu tena ndo naelewa vizuri...........basi tena,ngoja ni subiri somo yangu nikishampata huyo bwana anifundishe kupika,
Kwa pamoja itakuwa ngumu kidoooooogo labda mje mmoja mmoja....
 

E e e e!!! PM, hajawahi kudundwa huyo :embarrassed: ????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…