St. Paka Mweusi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2010
- 7,956
- 5,149
- Thread starter
-
- #101
Huyo jamaa kwanza hakuwa na akili! Haiwezekano mfano mtoto umtoe bukoba afu ampike ugal siku zote hzo tatu! Na kwanini mtoto mzuri umlishe ugal siku tatu?
tena uwe na mlenda
E e e e!!! PM, hajawahi kudundwa huyo :embarrassed: ????
Aka mwenzangu mi napenda kujifunza mambo mazuri na wenzangu tena ndo naelewa vizuri...........basi tena,ngoja ni subiri somo yangu nikishampata huyo bwana anifundishe kupika,
Hivi mwanamke naye siku hizi anatoa talaka?
He..!! Mama unakimbia tena,au umesahau kuwa mwalimu mzuri ni yule anayekufundisha ukiwa peke yako...?
Ndio tunaweza nasi kuwarudisha kwa wazazi wenu na pia kupitia mahakama kuvunja ndoa na kugawana tulivyokusanya pamoja au ulivyokusanya pamoja tukiwa wote.........Nimeshafanya kwa wawili niko kwenye process ya kutoa ya tatu ndo nataka kesho nimrudishe kwa wazazi kwanza........LOL
Mi muoga sana ndo maana ningependa Pauline naye awepo jamani!
Mkuu wana haki zao hao siku hizi..
Ndio
Oa mwengine nae asiopojua kutandika utamuacha utaoa mwengine
Kama wanandoa ni watanzania, tena wenye kujali mila na desturi zao basi ni "unwritten" wajibu kwa mwanamama, mrembo ajue kupika.
Kwa hiyo Jamaa kama alipiga talaka kwa mrembo kutokujua kupika alikuwa within unwritten wisdom ya mwanamme wa kiafrika kuwa mrembo ni lazima amuandalie mume chakula.
Kama ni wakaazi wa miji mikubwa haya mambo yanaanza kubadilika kidogo kidogo. watu hutafuta mpishi, hasa msichana ambaye pia akina baba wengine humtumia kufanya kazi za kitandani za mrembo pindi mrembo anapokuwa na dharura.
kwani umenioa nipike au nna kazi nyingine,kupika ni msaada tu nakufanyia!!!
kwani umenioa nipike au nna kazi nyingine,kupika ni msaada tu nakufanyia!!!
da jina lako nashindwa kulitaja mi mlume lakini umeua
Ukiona unapewa kwa masharti ujuwe hujui,kama mkali utapewa hata kama kuna msiba wa baba.Mh...!!! Sasa mbona na hiyo kazi nyingine siku hizi ina masharti?Eti ooh,mi nachoka nitafanya kazi mara mbili tu kwa wiki,jamani punguzeni kutuonea hivi basi.