Ni halali kwa raia wa kawaida kumiliki torch ya kupiga shoti?

Ni halali kwa raia wa kawaida kumiliki torch ya kupiga shoti?

danhoport

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2020
Posts
1,984
Reaction score
4,502
Kuna hii torch ya shoti(pichani) nataka niinunue, je kuna hatua zozote za kufata kama vile kumiliki bastora?. Hii torch ina 30000K Volt kazi yake kubwa ni kupiga shoti nahitaji kuimiliki kwa ajili ya ulinzi binafsi
 
Attachments

  • Screenshot_20240830-100444_Google.jpg
    Screenshot_20240830-100444_Google.jpg
    51.2 KB · Views: 5
  • 20240830_103645.jpg
    20240830_103645.jpg
    713.7 KB · Views: 5
Kuna hii torch ya shoti(pichani) nataka niinunue, je kuna hatua zozote za kufata kama vile kumiliki bastora?. Hii torch ina 30000K Volt kazi yake kubwa ni kupiga shoti nahitaji kuimiliki kwa ajili ya ulinzi binafsi
Haina shida kama utaitumia dhidi ya panya na mbu, wao wanazo bakora walizotumia dhidi ya Chadema.
 
Back
Top Bottom