econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 20,189
- 29,663
Leo katika hotuba yake Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samiah Suluhu Hassan amesema ya kwamba atampa kazi Mh Lukuvi ikulu asaidiane naye wakielekea kustaafu na pia kumpatia kazi nje ya mfumo wa kawaida Mh Lukuvi.
Swali langu ni je katiba inaruhusu mbunge kuajiriwa ikulu nje ya uwaziri na nje ya mfumo rasmi?
Kwa mujibu wa Rais, Mh Kabudi atasimamia mikataba yote na makubaliano yote kati ya serikali na mashirika ya nje. Na hiyo ajira itakuwa nje ya mfumo rasmi wa ajira. Je, atasimamia mikataba kama nani ?. wakati kuna mwanasheria mkuu wa serikali?