Ili mradi awe affiliated na ccm tuHii nchi hata kichaa anaweza akapewa u Rais na mambo yakaenda tu. Kichwa cha mwendawazimu
Kuongozwa na mwanamke ni aibu kwa taifa. Matokeo yake ni kama hiviLeo katika hotuba yake Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Samiah Suluhu Hassan amesema ya kwamba atampa kazi Mh Lukuvi ikulu asaidiane naye wakielekea kustaafu na pia kumpatia kazi nje ya mfumo wa kawaida Mh Lukuvi.
Swali langu ni je katiba inaruhusu mbunge kuajiriwa ikulu nje ya uwaziri na nje ya mfumo rasmi?.
Kwa mujibu wa Rais, Mh Kabudi atasimamia mikataba yote na makubaliano yote kati ya serikali na mashirika ya nje. Na hiyo ajira itakuwa nje ya mfumo rasmi wa ajira. Je atasimamia atasimamia mikataka kama nani ?. wakati kuna mwanasheria mkuu wa serikali? .
Kauli tuu mbona magufuli aliwahi sema atampatia tundu lissu ka kazi kadogo dogo huko ikulu.Leo katika hotuba yake Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Samiah Suluhu Hassan amesema ya kwamba atampa kazi Mh Lukuvi ikulu asaidiane naye wakielekea kustaafu na pia kumpatia kazi nje ya mfumo wa kawaida Mh Lukuvi.
Swali langu ni je katiba inaruhusu mbunge kuajiriwa ikulu nje ya uwaziri na nje ya mfumo rasmi?.
Kwa mujibu wa Rais, Mh Kabudi atasimamia mikataba yote na makubaliano yote kati ya serikali na mashirika ya nje. Na hiyo ajira itakuwa nje ya mfumo rasmi wa ajira. Je atasimamia atasimamia mikataka kama nani ?. wakati kuna mwanasheria mkuu wa serikali? .
Leo katika hotuba yake Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Samiah Suluhu Hassan amesema ya kwamba atampa kazi Mh Lukuvi ikulu asaidiane naye wakielekea kustaafu na pia kumpatia kazi nje ya mfumo wa kawaida Mh Lukuvi.
Swali langu ni je katiba inaruhusu mbunge kuajiriwa ikulu nje ya uwaziri na nje ya mfumo rasmi?.
Kwa mujibu wa Rais, Mh Kabudi atasimamia mikataba yote na makubaliano yote kati ya serikali na mashirika ya nje. Na hiyo ajira itakuwa nje ya mfumo rasmi wa ajira. Je atasimamia atasimamia mikataka kama nani ?. wakati kuna mwanasheria mkuu wa serikali? .
... wanasemaga; halazimiki kupokea ushauri wowote! Niki-connect na hoja yako kama kuna kaukweli fulani hivi.Hii nchi hata kichaa anaweza akapewa u Rais na mambo yakaenda tu. Kichwa cha mwendawazimu
Kauli tuu mbona magufuli aliwahi sema atampatia tundu lissu ka kazi kadogo dogo huko ikulu.
Binafsi naona kama kauli ya kumwi enjoy tuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizi zitakuwa kazi mpya nje ya katiba...........hatuwezi kujua ikiwa wakiondoka bungeni hizo kazi zitakoma au la?Swali langu ni je katiba inaruhusu mbunge kuajiriwa ikulu nje ya uwaziri na nje ya mfumo rasmi?
Kwa mujibu wa Rais, Mh Kabudi atasimamia mikataba yote na makubaliano yote kati ya serikali na mashirika ya nje. Na hiyo ajira itakuwa nje ya mfumo rasmi wa ajira. Je, atasimamia mikataba kama nani ?. wakati kuna mwanasheria mkuu wa serikali?
Kama kaajiriwa onyesha mkataba.. otherwiseRejea hotuba ya Rais kaahidi tarehe 13 atakuwa na kikao na mawaziri wote na manaibu Mawaziri. Na akasema atakuwa na Mh Lukuvi na Mh Kabudi siku hiyo.