Kumuondoa waziri mkuu ni lazima uvunje baraza lote la mawaziri (japo kwa Tz huenda isiwe lazima)...na hilo sioni likitokeaKama Samia anasema LUKUVI amemteua kumsaidia huko IKULU kuwaongoza hao mawaziri anaosema wadogo wakina RIDHWANI kuwasimamia; maana yake ni kwamba atachukua kazi ya Majaliwa kama waziri Mkuu!!!
Yale mabadiliko ya Baraza la mawaziri yanatosha kudhihirisha kuwa Waziri Mkuu Mpya anahitajika!!! Kumbuka huyu ni Waziri Mkuu wa JIWE ambaye anahisiwa kuwa alikuwa mmoja kati ya walokuwa wanampango wa kumkwamisha Samia kurithi kiti cha Urais!!!Kumuondoa waziri mkuu ni lazima uvunje baraza lote la mawaziri (japo kwa Tz huenda isiwe lazima)...na hilo sioni likitokea
Kama kaajiriwa onyesha mkataba.. otherwise
Usipende kunena usiyajua dogo kisa bando lako la jero...
Pambaf
Kama ni mtu mzima unashindwaje kujua kwamba ajira inamkataba.. jiheshimu siku nyingine usije na nyuzi za hovyo.Matusi yametokea wapi?. Wewe ndio pumbaf. Halafu Mimi sio dogo uwe na heshima. Kuuliza Kama Ni halali mbunge kupewa kazi ikulu ndio unitukane. Jiheshimu Sana.
Kinachofanyika hapa ni kuwaweka wawili hawa kuwa jirani ili wathibitiwe movement zao za 2025Hizi zitakuwa kazi mpya nje ya katiba...........hatuwezi kujua ikiwa wakiondoka bungeni hizo kazi zitakoma au la?
I lay the blame at the door of Julius NyerereHii nchi hata kichaa anaweza akapewa u Rais na mambo yakaenda tu. Kichwa cha mwendawazimu