Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
-
- #21
🤣🤣 keez-mkazeeWamewakilisha vyema nchi yao
Umenikumbusha ya Kipanga FC vs Club Africain chuma 7-1.Unakula 6 hapo bado mechi ya marudianoView attachment 3073633
Sema Tanganyika.Uzuri ni timu ya Zanzibar sio Tanzania
Sawa Afisa Ugani au mwalimuHiyo inaitwa salamu kwa kishkwambi
Unafuu wake ni watu wachache sana wanaojua kuwa kuna mechi huko,Hawa wanaaibisha nchi, hatujamaliza aibu ya Olympics, half time washabugia nne.
Pesa gani? Hapo unaambiwa huyo JKU kalipiwa kila kitu na hao wapinzani wake.Wazenji kwenye hii michuano Huwa wanapoteza pesa Bure tu