Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Tatizo linajulikana.Ni vile tu nguvu ya pesa na siasa inatimika ili kutengeneza pattern ya ubingwa kwa hizi timu.Benchika hafai aondoke, saido anacheza kama bibi harusi, Mo Dewji anatuumiza hajaweka hela, Mangungu sio mtu wa mpira, Try Again hana uwezo, Barbra arudishwe aliiweza Simba, Kaduguda mnafiki, Magori msaliti, Hans Pope rest in peace, Chama hachezi vzr gemu na yanga.GSM anadhamini vilabu 7, tumemaliza kila kitu.
Yaan kila mwaka habari ndio hizi hizi, msimu ujao tena hali itakuwa hiv hiv na ujinga wetu.
Subiri UTO achukue mara4 kama simba.Benchika hafai aondoke, saido anacheza kama bibi harusi, Mo Dewji anatuumiza hajaweka hela, Mangungu sio mtu wa mpira, Try Again hana uwezo, Barbra arudishwe aliiweza Simba, Kaduguda mnafiki, Magori msaliti, Hans Pope rest in peace, Chama hachezi vizuri gemu na yanga. GSM anadhamini vilabu 7, tumemaliza kila kitu.
Yaan kila mwaka habari ndio hizi hizi, msimu ujao tena hali itakuwa hiv hiv na ujinga wetu.
Back to back 10 years.Subiri UTO achukue mara4 kama simba.
Mlisema ile siku simba atashinda ili kubalance mzani kisiasa ikawa holaa.Tatizo linajulikana.Ni vile tu nguvu ya pesa na siasa inatimika ili kutengeneza pattern ya ubingwa kwa hizi timu.
Hii nchi ni ngumu sana
Kwahiyo kwa akili yako kuna mtu anaingilia kumsajili Jobe na Fredi ili kutengeneza pattern Yanga awe bingwa?Tatizo linajulikana.Ni vile tu nguvu ya pesa na siasa inatimika ili kutengeneza pattern ya ubingwa kwa hizi timu.
Hii nchi ni ngumu sana
Kuna jambo mtu anaandika unabaki unashangaa.Kwahiyo kwa akili yako kuna mtu anaingilia kumsajili Jobe na Fredi ili kutengeneza pattern Yanga awe bingwa?
Pesa inatumika kuzima kelele za wanachamaTatizo ni mo na uwekezaji wake wa kimagumashi Ila tatizo kubwa ni wanachama wa Simba hawana uchungu na timu na kushindwa kuhoji Mambo muhimu.
Waache waendelee hivyo hivyo watakuja kushutuka 2030Kwahiyo kwa akili yako kuna mtu anaingilia kumsajili Jobe na Fredi ili kutengeneza pattern Yanga awe bingwa?
Hebu try to grow up man
Na hii ndio shida ya mashabiki wa Simba. Hamtaki kabisa kukubali timu yenu ni mbovu na Timu ya Yanga ni nzuri this time. Mnaikwepa sana hii misamiati miwili matokeo yake mnatafuta visababu nje ya ukweli muda wote!
Hebu pevukeni. Kubalini mna timu mbovu kisha mfanye yanayotakiwa. Stop this nonsense za mara pattern mara ujinga gani sijui.
Tatizo wewe unawasikiliza wajnga, sorry !wapumbavu wenzako... Wanaojua Mpira wa Tz na Siasa za Simba na Yañga tunajua kinachoeendelea.Benchika hafai aondoke, saido anacheza kama bibi harusi, Mo Dewji anatuumiza hajaweka hela, Mangungu sio mtu wa mpira, Try Again hana uwezo, Barbra arudishwe aliiweza Simba, Kaduguda mnafiki, Magori msaliti, Hans Pope rest in peace, Chama hachezi vizuri gemu na yanga. GSM anadhamini vilabu 7, tumemaliza kila kitu.
Yaan kila mwaka habari ndio hizi hizi, msimu ujao tena hali itakuwa hiv hiv na ujinga wetu.
Simba haina shida yoyote, tatizo ni wewe shabiki andazi.Benchika hafai aondoke, saido anacheza kama bibi harusi, Mo Dewji anatuumiza hajaweka hela, Mangungu sio mtu wa mpira, Try Again hana uwezo, Barbra arudishwe aliiweza Simba, Kaduguda mnafiki, Magori msaliti, Hans Pope rest in peace, Chama hachezi vizuri gemu na yanga. GSM anadhamini vilabu 7, tumemaliza kila kitu.
Yaan kila mwaka habari ndio hizi hizi, msimu ujao tena hali itakuwa hiv hiv na ujinga wetu.