geee kay
Senior Member
- Mar 21, 2015
- 112
- 63
Mm nafanya kazi kama nmb wakala, sasa tarehe 26 mwez December, nilijichanganya baada ya kumwekea mteja 500000 nikamwekea 5m, nikamgundua kwa kuwa ni mtu wa karibu akahaidi kurudisha, baadae akaturudishia nusu ya hyo hela baada ya hela kamili, akahaidi nyingine kumalizia lakini saiv anazungusha. Ni hatua gan za kisheria nizifate Ili kumfungulia kesi huyu mteja. Msaada wenu ni muhimu.