Kesi za namna hii hua ni complicated sanaa, sasa kwakua ni tsh milion 5, amka kesho asubuhi nenda kwenye ofisi za huo mtandao kama ni tigo pesa/ m pesa nk wakuprintie mtiririko wa siku ile uliyotuma pesa kwenda kwa uyo muhuni kwa bahati mbaya, wakisha kuprintia details za huo muamala, waambie wakugongee muhuri kabisaa, alaf nenda ktk mahakama ya mwanzo ambako unakoishi ukafungue kesi ya madai ya hizo tsh 5 mills ambazo ulizituma kimakosa kwa huyu, alaf kitu kingine jitengenezee mazingira mazuri ya kesi yako wewe mwenyewe kwa kuprint pia sms ambazo alionesha kukili kuzipokea hela, sms za miamalq ya alivyolipa nusu ya hio hela na hivi uhakikishe pia ilo kampuni la simu limekupigia muhuri, hivi ndio vielelezo utakavyotumia kama ushaidi ktk kesi yako hio.