Ni hatua gani mstaafu anatakiwa kufuata kama amepunjwa au amelipwa mafao chini ya kiwango anachostahili?

J33

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2014
Posts
1,552
Reaction score
1,513
Mstaafu aliyelipwa chini ya kiwango halisi anatakiwa kuchukua hatua gani ili kudai kiasi kilichobaki?

Nimeuliza maana kuna ndugu yangu alilipwa kiasi asichostahili 2018 na tangu mwezi wa nne amekuwa akipokea simu kutoka kwa watu wanaojitambulisha kama wafanyakazi wa hazina wakimuomba rushwa ili wamsaidie kupata kiasi kilichobaki ambacho ni around milioni 26.
 
Mhhh awe makini asije tapeliwa
 
Duu ndo mana Sina mpango wa kuja kuyapokea mafao. Yaani wazee walijitoa ujanani Kama sio maishani mwao jamani afu mtu anakuja kuzungushwa
Enhee high power in the high niepushe na kikombe hichi
 
Back
Top Bottom