Mstaafu aliyelipwa chini ya kiwango halisi anatakiwa kuchukua hatua gani ili kudai kiasi kilichobaki?
Nimeuliza maana kuna ndugu yangu alilipwa kiasi asichostahili 2018 na tangu mwezi wa nne amekuwa akipokea simu kutoka kwa watu wanaojitambulisha kama wafanyakazi wa hazina wakimuomba rushwa ili wamsaidie kupata kiasi kilichobaki ambacho ni around milioni 26.