Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
InshallaalhKumuona Rais Bongo ni connection, usidhani ni Sugu binafsi ndio alifanikiwa kumualika Rais kwenye concert lake na akahudhuria, kuna watu wapo nyuma ya camera wanafanikisha haya.
Mkuu wa wilaya na mkuu wa mkoa kila wiki wana siku moja ya kusikiliza wananchi ofisini kwao na hawa ndio wawakilishi wa Rais, anza na hawa.
Kama umeshapita kote huko ndio ujitowe akili sasa andaa bango lako vizia siku Rais ana mkutano wa hadhara unaliamsha dude utasikilizwa.
Ila kama hujapita kwa Dc na Rc nakushauri pita huko, mimi binafsi Sophia Mjema alipokuwa Dc ilala alimaliza issue yangu ya ardhi kwa kupiga simu tu kitengo cha ardhi kwa kina Lugano.
Tanzania viongozi wa kisiasa wateule wa Rais wana nguvu kubwa kuliko unavyofikiri na wanaogopwa na hao watumishi wanaobabaisha watu.
Inshallaalh wakora wamejaa pale kuna dada hapo namsitiri ni mfanyakazi wa hapo yeye ndiye organiser anachange tu mafaili na kubadili nyaraka lots of shits
"Nina tatizo sugu la unyonge wangu halafu kumuona tena iwe kwa pesa"Kuna connection zipo mkuu, sema uwe na Pesa tu
Unawaza kuonana na mh rais wewe njoo hapa JF na documents zote oandisha Uzi wataje wahusika wote mod akifuta wewe unapandisha akifuta unapandisha uone ndani ya siku wiki tu jambo lako litakuwa solved njoo andika afisa aridhi....... Acha dhuruma uone uko ofisini watakavyotafutana na kuforwadianaNina shauri langu la ardhi lakini naona linapindishwa waziwazi hakika sina pa kukimbilia sina wa kumlilia naona nitadhulumika waziwazi.
Ni dhuluma za kipuuzi kabisa ardhi pameoza workers are not for customers or listening or do for normal clients.
Naomba taratibu za kumuona Rais nimechoka kwelikweli.