Ni hatua gani zinastahili kufuatwa ili kanunua nyumba au kiwanja kuepuka migogoro hapo baadae

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2012
Posts
20,561
Reaction score
24,428
Wataalamu wa ununuzi wa Majengo, viwanja na mali zisizohamishika.

Naomba kujuzwa hatua za kufuata ili kununua nyumba, au kiwanja lakini nisipate matatizo au migogoro, stage 1, mpaka stage ya kuingia kwenye nyumba uliyoinunua!

Nitashukuru kwa hili.
 
Wataalamu wa ununuzi wa Majengo, viwanja na mali zisizohamishika,
Naomba kujuzwa hatua za kufuata ili kununua nyumba, au kiwanja lakini nisipate matatizo au migogoro, stage 1, mpaka stage ya kuingia kwenye nyumba uliyoinunua!
Nitashukuru kwa hili.
A.Je nyumba ipo kwenye kiwanja kilichopimwa....

Kama kimepimwa je Kuna umiliki(hatimiliki)

Kama Kuna hatimiliki uliza umiliki upo chini ya muhusika gani....

Kama ukipewa majina yenye umiliki nenda kafanye 'official Search' wizara ya ardh kupitia Kanda husika....

Search itaonyesha mmiliki wa iko kiwanja na Kama kina details nyengine khs Deni utafatilia in deep....

B.Kama kiwanja akimilikiwi kiserikali kawa maana Kuna umiliki wa kimila fanya research kwuanzia kwa wanao kuuzia ukipata majina yao na historian nzima ya umiliki....

Nenda kaone eneo akikisha unawashirikisha mwenyekiti wa mtaa na mjumbe in private ili uwaulize khs umiliki halali wa eneo husika...Pia tafuta majirani wakongwe kaa nao vyema wakupe aBc to z khs ili eneo..ikikupendeza waitwe watu wakaribu wa na anaekuuzia awe shaidi ktk kuuziana...

Mwisho kaa na mwanasheria wako update kujua mnasinishana vp mikataba ya mauziano ilaa mashaidi mfano mke/mume/mtoto/mjomba/babamdogo/ wa muuzaji wawemo ili siku kikinuka uwe na jopo la kukutetea mahakamani.
 
Nashukuru ndugu nimetaka kufahamu zaidi maana hata search ya ardhi sometimes huwa haina maana unakuta wakware tayari wamepenyeza kila kitu kwenye system cha mtu fake, huku muhusika halali akiwa yupo tuli hafahanu hili wala lile, nashukuru sana majirani na wakongwe wa eneo na wazee ni muhimu sana
 
Nenda kaone eneo akikisha unawashirikisha mwenyekiti wa mtaa na mjumbe in private ili uwaulize khs umiliki halali wa eneo husika...Pia tafuta majirani wakongwe kaa nao vyema wakupe aBc to z khs ili eneo..ikikupendeza waitwe watu wakaribu wa na anaekuuzia awe shaidi ktk kuuziana...
What if muuzaji ni Mwenyekiti au Mtendaji wa Kijiji au mtaa husika?
What if shamba linauzwa na kijiji?
 
Umiliki wa Nyumba au Ardhi linakupasa mnunuzi kuwa makini

Kwa upande wa viwanja katika miji hakikisha yafuatayo
1) Eneo limepimwa na liko katika (TP)
2) Document za anayekuuzia kama ni mtu binafsi lazima awe na Hati inayoonuesha umiliki wake, Kama ni Kampuni lazima wawe na documents za kuhalalisha umiliki wao
3) Mkataba wa maudhiano huu mara nyingi ni vizur mkaandikishana kwa mwenyekiti na mjumbe
4) Muuzaji ni lazima either akupe Hati kama eneo hilo lishafanyiwa mchakato wa Hati ..Kama bado Muuzaji ni lazima awe katika mchakato wa kukusaidia mnunuzi katika kufuatilia Hati

Viwanja vyote utakavyouziwa hakikisha unanunua kwa eneo lililopimwa na Registered surveyors
Hii itakurahisishia kuanza mchakato wa Hati miliki kutoka wizarani

Kwa upande wa Vijijini

Hakikisha eneo au shamba unalolinunua limepimwa na linatambulika serikali ya Mtaa
Hati kutoka serikali ya mtaa ni muhimu kuipata ili kukuongezea security

Note:
Hati ya wizarani ina nguvu sana compare to
Hati kutoka serikali ya mtaa
 
What if muuzaji ni Mwenyekiti au Mtendaji wa Kijiji au mtaa husika?
What if shamba linauzwa na kijiji?
Kama shamba linauzwa na Kijiji lazima kamati za maendeleo ziandae mukhtasari unaoelezea namna gani eneo linauzwa..

Ilo n wazo langu tuu
 
Natumae mleta mada umepata muongozo...
Hakika mwongozo nimeupata mkuu nashukuru sana, ispokuwa umakini katika eneo husika ni muhimu sana since matapeli wanaweza kuchonga kila docs, kuanzia Hati, mpaka hata kitambulisho cha nida!,
Nimekuwa siiamini sana search maana mpango kazi huwa unaandaliwa mahususi kwa ushirikiano na wahusika wa ardhi, hivyo kuogofya sana!
 
A.Je nyumba ipo kwenye kiwanja kilichopimwa....

Kama kimepimwa je Kuna umiliki(hatimiliki)

Kama Kuna hatimiliki uliza umiliki upo chini ya muhusika gani....

Kama ukipewa majina yenye umiliki nenda kafanye 'official Search' wizara ya ardh kupitia Kanda husika....

Search itaonyesha mmiliki wa iko kiwanja na Kama kina details nyengine khs Deni utafatilia in deep....

B.Kama kiwanja akimilikiwi kiserikali kawa maana Kuna umiliki wa kimila fanya research kwuanzia kwa wanao kuuzia ukipata majina yao na historian nzima ya umiliki....

Nenda kaone eneo akikisha unawashirikisha mwenyekiti wa mtaa na mjumbe in private ili uwaulize khs umiliki halali wa eneo husika...Pia tafuta majirani wakongwe kaa nao vyema wakupe aBc to z khs ili eneo..ikikupendeza waitwe watu wakaribu wa na anaekuuzia awe shaidi ktk kuuziana...

Mwisho kaa na mwanasheria wako update kujua mnasinishana vp mikataba ya mauziano ilaa mashaidi mfano mke/mume/mtoto/mjomba/babamdogo/ wa muuzaji wawemo ili siku kikinuka uwe na jopo la kukutetea mahakamani.
Umenena
 
tanzania ndio nchi pekee kila kitu kimekaa kushoto na kulia.

umiliki wa ardhi ueleweki wala nyaraka zake. unaweza kununua na ukalipa mpaka taratibu nyengine na zisitambulike
 
Hapa ndipo panaposhangaza, docs zipo mbili mbili, unaweza kufanya search ikakuletea jina la muhusika unafanya nae biashara kumbe siye!
Ardhi yapaswa pawe na kitengo maalumu ambacho kitakuwa na wanasheria wake, ambacho kitahusiaka na Uhakiki thabiti and approvals yakinifu, hata wakatoza 500,000/-siyo mbaya,dawati hili litasaidia kukomesha makanjanja!
 
Pitia huu uzi [emoji115] utakuongezea madini
 
Back
Top Bottom