Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
A.Je nyumba ipo kwenye kiwanja kilichopimwa....Wataalamu wa ununuzi wa Majengo, viwanja na mali zisizohamishika,
Naomba kujuzwa hatua za kufuata ili kununua nyumba, au kiwanja lakini nisipate matatizo au migogoro, stage 1, mpaka stage ya kuingia kwenye nyumba uliyoinunua!
Nitashukuru kwa hili.
Nashukuru ndugu nimetaka kufahamu zaidi maana hata search ya ardhi sometimes huwa haina maana unakuta wakware tayari wamepenyeza kila kitu kwenye system cha mtu fake, huku muhusika halali akiwa yupo tuli hafahanu hili wala lile, nashukuru sana majirani na wakongwe wa eneo na wazee ni muhimu sanaA.Je nyumba ipo kwenye kiwanja kilichopimwa....
Kama kimepimwa je Kuna umiliki(hatimiliki)
Kama Kuna hatimiliki uliza umiliki upo chini ya muhusika gani....
Kama ukipewa majina yenye umiliki nenda kafanye 'official Search' wizara ya ardh kupitia Kanda husika....
Search itaonyesha mmiliki wa iko kiwanja na Kama kina details nyengine khs Deni utafatilia in deep....
B.Kama kiwanja akimilikiwi kiserikali kawa maana Kuna umiliki wa kimila fanya research kwuanzia kwa wanao kuuzia ukipata majina yao na historian nzima ya umiliki....
Nenda kaone eneo akikisha unawashirikisha mwenyekiti wa mtaa na mjumbe in private ili uwaulize khs umiliki halali wa eneo husika...Pia tafuta majirani wakongwe kaa nao vyema wakupe aBc to z khs ili eneo..ikikupendeza waitwe watu wakaribu wa na anaekuuzia awe shaidi ktk kuuziana...
Mwisho kaa na mwanasheria wako update kujua mnasinishana vp mikataba ya mauziano ilaa mashaidi mfano mke/mume/mtoto/mjomba/babamdogo/ wa muuzaji wawemo ili siku kikinuka uwe na jopo la kukutetea mahakamani.
What if muuzaji ni Mwenyekiti au Mtendaji wa Kijiji au mtaa husika?Nenda kaone eneo akikisha unawashirikisha mwenyekiti wa mtaa na mjumbe in private ili uwaulize khs umiliki halali wa eneo husika...Pia tafuta majirani wakongwe kaa nao vyema wakupe aBc to z khs ili eneo..ikikupendeza waitwe watu wakaribu wa na anaekuuzia awe shaidi ktk kuuziana...
Kama shamba linauzwa na Kijiji lazima kamati za maendeleo ziandae mukhtasari unaoelezea namna gani eneo linauzwa..What if muuzaji ni Mwenyekiti au Mtendaji wa Kijiji au mtaa husika?
What if shamba linauzwa na kijiji?
🙏🙏Kama shamba linauzwa na Kijiji lazima kamati za maendeleo ziandae mukhtasari unaoelezea namna gani eneo linauzwa..
Ilo n wazo langu tuu
Hakika mwongozo nimeupata mkuu nashukuru sana, ispokuwa umakini katika eneo husika ni muhimu sana since matapeli wanaweza kuchonga kila docs, kuanzia Hati, mpaka hata kitambulisho cha nida!,Natumae mleta mada umepata muongozo...
UmenenaA.Je nyumba ipo kwenye kiwanja kilichopimwa....
Kama kimepimwa je Kuna umiliki(hatimiliki)
Kama Kuna hatimiliki uliza umiliki upo chini ya muhusika gani....
Kama ukipewa majina yenye umiliki nenda kafanye 'official Search' wizara ya ardh kupitia Kanda husika....
Search itaonyesha mmiliki wa iko kiwanja na Kama kina details nyengine khs Deni utafatilia in deep....
B.Kama kiwanja akimilikiwi kiserikali kawa maana Kuna umiliki wa kimila fanya research kwuanzia kwa wanao kuuzia ukipata majina yao na historian nzima ya umiliki....
Nenda kaone eneo akikisha unawashirikisha mwenyekiti wa mtaa na mjumbe in private ili uwaulize khs umiliki halali wa eneo husika...Pia tafuta majirani wakongwe kaa nao vyema wakupe aBc to z khs ili eneo..ikikupendeza waitwe watu wakaribu wa na anaekuuzia awe shaidi ktk kuuziana...
Mwisho kaa na mwanasheria wako update kujua mnasinishana vp mikataba ya mauziano ilaa mashaidi mfano mke/mume/mtoto/mjomba/babamdogo/ wa muuzaji wawemo ili siku kikinuka uwe na jopo la kukutetea mahakamani.
Hapa ndipo panaposhangaza, docs zipo mbili mbili, unaweza kufanya search ikakuletea jina la muhusika unafanya nae biashara kumbe siye!tanzania ndio nchi pekee kila kitu kimekaa kushoto na kulia.
umiliki wa ardhi ueleweki wala nyaraka zake. unaweza kununua na ukalipa mpaka taratibu nyengine na zisitambulike