Ni hatua zipi za kufuata kwa mtumishi anayetaka kuhama wilaya ndani ya mkoa huohuo?

Ni hatua zipi za kufuata kwa mtumishi anayetaka kuhama wilaya ndani ya mkoa huohuo?

1. Chonga na RAS Mpe cha juuu
2. Omba nafasi unakohamia, andika barua kwenda RAS kupitia kwa mkurugenzi wako kisha peleka kwa RAS
 
1. Chonga na RAS Mpe cha juuu
2. Omba nafasi unakohamia, andika barua kwenda RAS kupitia kwa mkurugenzi wako kisha peleka kwa RAS
Tupe mchongo wa kuhama mkoa moja kwenda mwingine..mana ishu za kubadilisha na kwa wengine ngumu kufanikisha.

#MaendeleoHayanaChama
 
Habr zenu watumishi wenzangu! Mwenzenu nmekutana na changamoto katika kuhama kutoka manyara niende ruvuma! Nmeandka barua ikaptshwa ktk kituo Chang Cha Kaz imefka kwa deo nmejbiwa tafuta wa kubadlshana nae kituo bila kuambiwa sababu,nmeshindwa kuelewa kbsa, mim nmetoa sababu ni kumfata mwenza wangu ameajriwa ruvuma na nkaweka chet Cha ndoa, inavyoonekana hawajal! Naomb mwenyewaraka uliosainiwa ukiruhusu mtumish kuhama na kumfata mwenza ictoshe nmekaa kituo hki miaka kumi bila kuhamishwa! Ahsanten
 
Back
Top Bottom