Habr zenu watumishi wenzangu! Mwenzenu nmekutana na changamoto katika kuhama kutoka manyara niende ruvuma! Nmeandka barua ikaptshwa ktk kituo Chang Cha Kaz imefka kwa deo nmejbiwa tafuta wa kubadlshana nae kituo bila kuambiwa sababu,nmeshindwa kuelewa kbsa, mim nmetoa sababu ni kumfata mwenza wangu ameajriwa ruvuma na nkaweka chet Cha ndoa, inavyoonekana hawajal! Naomb mwenyewaraka uliosainiwa ukiruhusu mtumish kuhama na kumfata mwenza ictoshe nmekaa kituo hki miaka kumi bila kuhamishwa! Ahsanten