felakuti
JF-Expert Member
- Aug 16, 2024
- 659
- 1,207
Jambo
Nataka kufungua kanisa/ministry hapa nchini, ni taratibu zipi za kisheria natakiwa kufuata ama kufanya ili iwe registered kikamilifu na kuanza huduma mbalimbali?
Ma consultants, na Wanasheria naombeni michango yenu najua mnafanya kazi hizi za kufungua taasisi mbalimbali iwe kampuni n.k, na kama unaweza kufanya nachohitaji hatua kwa hatua basi usisite kunifahamisha.
Kwa pamoja tuseme kazi iendelee.