Ni hatuna gani nchi za Afrika zitakuchua kupambana na kujikinga dhidi ya athari ya Marekani?

Ni hatuna gani nchi za Afrika zitakuchua kupambana na kujikinga dhidi ya athari ya Marekani?

baba_bryan

New Member
Joined
Dec 31, 2024
Posts
1
Reaction score
0
Kutokana na ujio wa Rais mpya wa marekani "Donald Trump" kusitisha utoaji wa misaada katika nchi za Africa, kauli/Sheria iyo imeonekana kuathiri sana sector ya afya ambayo ilikua ikilalia sana upande wa marekani Ili kuendesha programu mbalimbali.

Kutokana na kusitishwa Kwa misaada hiyo, inamaana huduma zote zilizokua zinatolewa na mashirika ya misaada (USAID)/ KWA HISANI YA WATU WA MAREKANI. Itakoma nchini. Mfano upatikanaji wa ARVs, pamoja na jacho za magonjwa yote, pia matibabu/clinic za cancer.

Tangu Trump alipotangaza Sheria iyo mwanzoni mwa juma lililoisha ndani ya week hii au kufikia week hii, baadhi ya mashirika (matatu) yaliyokua yakitoa huduma hizo nchini kama ugawaji wa ARVs pamoja na usimamizi yamesitisha huduma zao (taarifa kutoa chombo kisicho Cha kuaminika)

Kutokana na vitu kama ivyo tutegemee wale waliokua wakiishi Kwa kumeza dawa za kufubaza virusi kuwa waathirika zaidi, lakini pia tutegemee kuenea zaidi Kwa jongwa hilo, lakini pia tutegemee vifoo vingi vitakavokua vinasababishwa na jongwa hilo.

Je, ni hatuna gani serikali inaweza kuchukua kupambana na athari za mambo kama haya?


IMG-20250130-WA0047.jpg
 
Back
Top Bottom