johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
CCM ina Demokrasia pana!Naendelea kujifunza... Ni Chama gani kina demokrasia ndani yake na kipi kinaongozwa kama Mali ya MTU Binafsi..
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee nakumbuka ni kweli kabisa.....!!Chadema mwaka 2010 walimpokea John Shibuda aliyetimuliwa CCM baada ya kwenda kinyume na tamaduni za uchaguzi chamani.
Shibuda alipewa fursa ya kugombea ubunge huko Shinyanga na kufanikiwa kushinda baada ya changamoto nyingi zilizosababishwa na mshindani wake kutoka CCM ndugu Kisena.
Ni katika kukumbushana tu maana wengine ni wasahaulifu.
Maendeleio hayana vyama!
Ndio kufukuzwa kwenyewe........kuna mtu anapenda kuondoka CCM?!Shibuda hakuwahi kufukuzwa CCM. Aliondoka mwenyewe.
Kitenge mwanaume aisee.
Jina lake lilikuchanganya?!Kitenge mwanaume aisee.
Kufukuzana ni sehemu ya Demokrasia bwashee!
Hakika komredi!Mkuki kwa nguruwe...
Vyovyote haikupunguzii maumivuShibuda hakuwahi kufukuzwa CCM. Aliondoka mwenyewe.
Wakifukuzwa CDM sio demokrasia,wakifukuzwa CCM ni demokrasia!Akili zenu mnazijua wenyewe!Kufukuzana ni sehemu ya Demokrasia bwashee!
Hiyo ni mashine ya umbeaMara uje na id ya Etwege mara sijui maendeleo hayana vyama threads nyingi kwa siku. Utadhan unataga na kama unataga lazima utage mayai yako humu jamvini??!
UNAKERA