Ni hawa hawa Wanamtandao waliomfurusha Shibuda CCM alipotaka kugombea urais 2010 lakini leo wameshasahau

Utawala wa ki dictator huwa unajihamii. Kwakuwa hawatend haki wanajua umma umegutuka. Uneuza nyumba kwa vimada kisha unajiita mwadilifu?? Unaita watengeneza ndege chumban na kuwawa specification unapewa 10% kisha unajiita mwadilifu? Unajenga uwanja wa ndege kwenu kwa kampuni yako bila kupitia bunge kisha unajiita muadilifu?
UADILIFU GANI WA KISHAMBA HUO
Kufukuzana ni sehemu ya Demokrasia bwashee!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kamati kuu ya ccm ikiwa kazini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…