Ni heri kutoa kuliko kupokea.

sarikoki

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2011
Posts
1,194
Reaction score
721
Haya ni maneno ya Biblia.
Naona malalamiko mengi kwenye mapenzi ni ..ooo ananichuna... oooo mme ka mwanamke.
Pia na nyie wote mnaopenda kupokea tu sio vizuri jamani. Biblia imekataza.

Ni hayo tu nilitaka kutoa moyo kwa tunaotoa tusifadhaike maana imeandikwa ni heri yetu.
 
Ni kweli? So unamaanisha wewe huwa unatoa tu au??
 
tuwekee mstari uliponukuu ili tusome sura yote tuje na maana halisi
 
Kutoa. . . . . . . . . . .Duh!!!!
 
Kwa mke na mume labda sawa, please msihusishe vitabu vya dini kwenye mahusiano GF na BF ambayo hayakubaliki kidini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…