Ni heri nibaki kuwa mshamba

Ni heri nibaki kuwa mshamba

chineke_2016

Member
Joined
Jan 20, 2019
Posts
43
Reaction score
52
Kwa hali hii acha nivae mabwanga yangu
FB_IMG_1554567259509.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sioni sababu ya kuhangaika na dunia kiasi hicho

13SEPTEMBER
 
😂😂😂😂
Halafu wako serious kabisa
 
Kuna nguo ambazo msanii hutumia kufanya show tu au shooting tu ambazo hata yeye mwenyewe kuzivaa mtaani hawezi
Ila sasa wasiojielewa mtaani ndiyo huishia kuiga uchiinga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom