chineke_2016
Member
- Jan 20, 2019
- 43
- 52
[emoji1] [emoji1] Pandora boxMara nyingi hawa ni wa mikoani hahaaaa...( Pandora box opened)
Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Halafu wako serious kabisa
Ushaweka yale mambo yetu?
Mti wenye matunda.
yaa niliweka.. maombi tu mama ahaadi iko pale pale. naona maendeleo si mabaya.Kuna mtu nilikuwa namtegemea anipe niweke ila hakutuma
Wewe uliweka?
Hawa haiwezekani wakawa wanaume halisi