Ni historia England, nadhani hakuna timu bora kwa Sasa Kama Man city, hakuna kama Pep

george aloyce

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2017
Posts
1,302
Reaction score
2,023
... [emoji471] π—–π—›π—”π— π—£π—œπ—’π—‘π—¦ [emoji91]

Kabla Pep hajatua England wachambuzi wa England walikuwa wanaziponda ligi zingine kwa kuziita ni FARMER LEAGUE.

Kwamba ligi hizo hazina ushindani kama ligi yao ndio maana timu 1 inaweza kutwaa Ubingwa mara 4+ mfululizo kitu ambacho huwezi kukiona England Premier League.

Pep Guardiola ametwaa Ubingwa wa EPL mara (6) katika misimu (7) ya mwisho EPL !!

EPL pia ni farmers league ?! [emoji38]

β—‰ 17 | 18 - Manchester city - [emoji471]
β—‰ 18 | 19 - Manchester city - [emoji471]
β—Ž 19 | 20 - Liverpool [emoji471]
β—‰ 20 | 21 - Manchester city [emoji471]
β—‰ 20 | 22 - Manchester city [emoji471]
β—‰ 22 | 23 - Manchester city [emoji471]
β—‰ 23 | 24 - Manchester city [emoji471]

Pep Guardiola as a manager :

[emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471] - Premier league (EPL).
[emoji471][emoji471][emoji471][emoji471] - EFL cup.
[emoji471][emoji471][emoji471][emoji471] - UEFA Super cup.
[emoji471][emoji471][emoji471][emoji471] - Club World Cup.
[emoji471][emoji471][emoji471] - La Liga.
[emoji471][emoji471][emoji471]- Bundesliga.
[emoji471][emoji471][emoji471]- Supercopa de EspaΓ±a.
[emoji471][emoji471][emoji471] - Champions League.
[emoji471][emoji471] - DFB-Pokal.
[emoji471][emoji471] - Copa del Rey.
[emoji471][emoji471] - Community Shield.
[emoji471][emoji471] - FA cup.

[emoji294] Pep Guardiola ametwaa Ubingwa wa EPL mara nyingi sawa na Ubingwa aliotwaa Bundesliga na Laliga kwa pamoja [emoji2957]

β—‰ 6 - Premier league - [emoji471]
β—‰ 6 - Laliga | Bundesliga combined - [emoji471]

GOAT [emoji238]

𝗧𝗼𝗽 π˜€π—°π—Όπ—Ώπ—²π—Ώ : 23 | 24

Erling Haaland ni mchezaji wa kwanza kwenye historia kutwaa Golden Boot na Ubingwa wa EPL Back to back.

β—‰ 23 | 24 - Top scorer ([emoji460]27) + [emoji471]
β—‰ 22 | 23 - Top scorer ([emoji460]36) + [emoji471]

Haaland ana misimu (2) tu [emoji880]

𝗠𝗩𝗣 23 | 24

Phil Foden this season (23)

β—‰ 35 - Games Epl.
β—‰ 19 - Goals scored.
β—‰ 08 - Assists.

Full β€” Man city 3 - 1 Westham.

[emoji460]️[emoji460]️ Foden β€” 2',18'
[emoji460]️ Kudus β€” 43'
[emoji460]️ Rodri β€” 59'

Full β€” Arsenal 2 - 1 Everton.

[emoji460]️ Gueye β€” 40'
[emoji460]️ Tomiyasu β€” 43'
[emoji460]️ Havertz β€” 89'

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…