sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Kuna dhana duni na hoja dhaifu zinaanzishwa na watu dhaifu hususan wale Mashabiki waliopasuka vidali baada ya kuona timu yao Ni dhaifu hivyo kuanzisha hoja dhaifu ili kutafta furaha kwa nguvu baada ya kipigo kizito juzi🤔
Et oooh kwa Nini Dejan aitwe mzungu , so what a problem kumuita ivyo??
Mfano watu wanaitwa waafrica, watu wanaitwa wahindi, watu wanaitwa waarabu ,watu wanaitwa wasomali,mbrazil , wanaitwa waruguru, wamakonde, wanyakyusa so huo Ni ubaguzi 🤔🤔
Mmeshapigwa , mtapigwa mpaka akili ziwakae sawa always mpira Ni uwekezaji siyo ndumba Wala kelele, wakati Yanga inasajil kina Azizi ki, Morrison, Bigirimana lomalisa, na kambole nyie mnaleta kina kyombo, kapama, akpan, mzungu Leo mnapasuka mnaanza oooh uzalilishaji 🤣🤣
Na bado mtapigwa mno mpaka mseme kumuita Ahmed Ni msemaji huu nao Ni ubaguzi pia🤔🤔🤔rudini shule mjue Nini maana ya ubaguzi jitu zima upo kwenye media unaongea uozo tu🤣
Dejan ni chezaji bovu itabaki ivyo👏🤝