Ni hoja dhaifu kwa simba kuingiza ajenda za ubaguzi baada ya kupasuliwa vidali

sky soldier

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2020
Posts
5,407
Reaction score
19,264
Kuna dhana duni na hoja dhaifu zinaanzishwa na watu dhaifu hususan wale Mashabiki waliopasuka vidali baada ya kuona timu yao Ni dhaifu hivyo kuanzisha hoja dhaifu ili kutafta furaha kwa nguvu baada ya kipigo kizito juzi🤔

Et oooh kwa Nini Dejan aitwe mzungu , so what a problem kumuita ivyo??
Mfano watu wanaitwa waafrica, watu wanaitwa wahindi, watu wanaitwa waarabu ,watu wanaitwa wasomali,mbrazil , wanaitwa waruguru, wamakonde, wanyakyusa so huo Ni ubaguzi 🤔🤔

Mmeshapigwa , mtapigwa mpaka akili ziwakae sawa always mpira Ni uwekezaji siyo ndumba Wala kelele, wakati Yanga inasajil kina Azizi ki, Morrison, Bigirimana lomalisa, na kambole nyie mnaleta kina kyombo, kapama, akpan, mzungu Leo mnapasuka mnaanza oooh uzalilishaji 🤣🤣

Na bado mtapigwa mno mpaka mseme kumuita Ahmed Ni msemaji huu nao Ni ubaguzi pia🤔🤔🤔rudini shule mjue Nini maana ya ubaguzi jitu zima upo kwenye media unaongea uozo tu🤣

Dejan ni chezaji bovu itabaki ivyo👏🤝
 
mi sio mdau wa simba ila hicho anachofanyiwa ni racism. kuja wachezaji wangapi wa kigeni simba imesajili? Keanini yeye tu? halaf hamjui jina lake?

mbele blacks wakiganyiwa vitu vya aina hii mnalalama, ila mkifanya nyie mnaona sawa tu!
 
mi sio mdau wa simba ila hicho anachofanyiwa ni racism. kuja wachezaji wangapi wa kigeni simba imesajili? Keanini yeye tu? halaf hamjui jina lake?

mbele blacks wakiganyiwa vitu vya aina hii mnalalama, ila mkifanya nyie mnaona sawa tu!
Msemaji wa Simba ile siku ya kumtambulisha alimwita hivi namnukuu..

Mzunguuu, mlete mzunguuuu..

Mashabiki wa simba walilalamika ubaguzi ?
 
Sisi waafrika ndio tunachukia race yetu yan hatuko proud nayo, leo hii mtu mweusi akiitwa mwafrika lazima alalame kuwa amebaguliwa kwa sababu anuonea aibu au soni uafrika wake

Na tunataka kuforce kumuita mtu mzungu ni ubaguzi ili tuhalalishe kuitwa sisi waafrika ni kubaguliwa.

Wenzetu wako proud of how they are ila sisi tunajiona inferior ndio maana kila siku tunalia ubaguzi

Ubaguzi utaisha pale ambapo tutakua proud na jinsi tulivyo wala si kutoitana we mzungu au mwafrika au mweupe na mweusi
 
Simba ya Caf champions league ni ile ya kipindi cha kwanza halafu ile ya pili ni ile ya NBC premier league ndo maana pitso alivyokuja kwenye yanga day alishangaa sana kuona team ambayo haijafungwa msimu mzima inacheza mpira wa hovyo vile na faraja pekee ni kuifunga simba.
 
Msemaji wa Simba ile siku ya kumtambulisha alimwita hivi namnukuu..

Mzunguuu, mlete mzunguuuu..

Mashabiki wa simba walilalamika ubaguzi ?
Kinacholalamikiwa sio kuitwa mzungu ni namna picha yake inavyotumika vibaya mitandaoni kwa maudhui tofauti tofauti kama ilivyokuwa kwa ile picha ya ndugu abiria [emoji1787][emoji1787]
 
Msemaji wa Simba ile siku ya kumtambulisha alimwita hivi namnukuu..

Mzunguuu, mlete mzunguuuu..

Mashabiki wa simba walilalamika ubaguzi ?
Msemaji wa simba alikosea mkuu. Huenda alikuwa hajui, sasa isiwe ndio sababu. Babako akitukana mbele za watu na wewe utatukana kisa baba alifanya.
 
Wakuu mbona karia anaitwa msomali na sijawahi ona akilalamika?
 
Pwi pwi pwi pwilo kweli wewe. Mpira wa ovyo
 
alipokuwa anataniwa Azizi ki kuwa ni Aziza ulikuwa unakula ugali wa matembele ukaona ni sawa tu. Alipokuwa anataniwa Lomalisa kwa kumuita Dada Joyce ulikuwa unachoma mahindi.

Hata hivyo aliyeanza mambo ya Lete Mzungu ni huyu kijana wenu wa Wana simbaaaaaaa tuache tumalizane na nyie
 
Mleteni mzunguuuuuu


Mzungu akiwa sokoine stadium kupiga tizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…