Ni hospital gani nzuri au ni Daktari gani ambae ni Bingwa kwa magonjwa ya mgongo

mockers

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2013
Posts
12,843
Reaction score
35,442
Wana bodi kwanza salamu.
Baada ya hapo naomba kuuliza ni hospitali gani nzuri au Daktari bingwa wa maumivu makali ya mgongo yanayopelekea kuishiwa mate kabisa na koo kubana kwa hapa Dar Es Salaam ? Msaada tafadhali
 
Msaada tafadhali kwa anayefaham majibu au anayeweza kutoa ushauri wowote
 
Wana bodi kwanza salamu.
Baada ya hapo naomba kuuliza ni hospitali gani nzuri au Daktari bingwa wa maumivu makali ya mgongo yanayopelekea kuishiwa mate kabisa na koo kubana kwa hapa Dar Es Salaam ? Msaada tafadhali

Nenda Ekenywa hospital ipo magomeni.
 
Asante kwa ushauri wako Konda Wa Boda Boda
 
Wana bodi kwanza salamu.
Baada ya hapo naomba kuuliza ni hospitali gani nzuri au Daktari bingwa wa maumivu makali ya mgongo yanayopelekea kuishiwa mate kabisa na koo kubana kwa hapa Dar Es Salaam ? Msaada tafadhali

Nenda moi muone Dr kiloloma othman
 
Back
Top Bottom