HAKUNAGANwasumbuliwa na tatizo LA uume kutosimama vizuri wakati wa kugegenda. Naombeni kujua ni hospitali gani kwa dar hapa naweza kupatiwa ufumbuzi wa tatizo hili?? Kama kuna MTU ana uzoefu na utatuzi was hili tatizo msaada wako Ni muhimu sana, maama mwenzenu naumbuka huku.
hao wataalamu wa saikolojia ninaweza kuwapata wapi??Inawezekana kabisa ukawa huna hilo ambalo wewe unadhani unalo.....asilimia kubwa ya maradhi hasa haya ya nguvu za kiume ni wahanga wanajitengenezea wenyewe vichwani mwao...kwa hofu na uoga wa tendo....tendo la ndoa linataka utayari wa nafsi na mwili.....na nafsi ndio injini ya utendaji kazi na mwili unafuata marlekezo ya ubongo.....nakushauri kwanza nenda ukaonane na wataalamu wa saikolojia....nina uhakika watakusaidia sana tatizo.....nina kumbu kumbu nzuri sana ya watu waliofanikiwa kupitia njia na wenye matatizo kam yako.....
Sijui chanzo cha tatizo ndo nataka kulipatia ufumbuzi wa kudumu maana hii hali sio nzuri kabisaUnaweza kutuambia chanzo cha tatizo?
Hakunaga nini mkuu??HAKUNAGA
Hili tatizo lina muda ganiSijui chanzo cha tatizo ndo nataka kulipatia ufumbuzi wa kudumu maana hii hali sio nzuri kabisa
Inawezekana ikawa kweli maana kuna jamaa alinishauri nitafute pesa tu uwezo wa kugegenda utakuja tu, anasema hata yye akiwa hana pesa uwezo wake unashuka kwa kasi ya ajabuInawezekana kabisa ukawa huna hilo ambalo wewe unadhani unalo.....asilimia kubwa ya maradhi hasa haya ya nguvu za kiume ni wahanga wanajitengenezea wenyewe vichwani mwao...kwa hofu na uoga wa tendo....tendo la ndoa linataka utayari wa nafsi na mwili.....na nafsi ndio injini ya utendaji kazi na mwili unafuata marlekezo ya ubongo.....nakushauri kwanza nenda ukaonane na wataalamu wa saikolojia....nina uhakika watakusaidia sana tatizo.....nina kumbu kumbu nzuri sana ya watu waliofanikiwa kupitia njia na wenye matatizo kam yako.....
Mkuu nashukuru kwa ushauri mzuri, ila inasemekana vyakula vya wanga Ni vya kuvikwepa sana ili kupambana na magonjwa kama sukari ambayo yanaweza yakakusabishia matatizo zaidi, labda wanga unaosemea Ni UPI ?? Maana kuna wataalamu wnashauri vyakula vya wanga si vizuri labda nafaka ambazo hazijakobolewa kama donaFanya mazoezi hasa ya kukaza misuri na kukimbia angalau mita 500 kwa siku.
Na kula vyakula vyenye wanga kwa wingi
Nitazingatia ushauri wa kufanya mazoezi kila sikuFanya mazoezi hasa ya kukaza misuri na kukimbia angalau mita 500 kwa siku.
Na kula vyakula vyenye wanga kwa wingi
Hii ni hospital mkuu??Njoo wilolesi mafinga
Hizo ndo mbegu gani mkuuKula mbegu mbegu kama almonds
Hakunaga nini mkuu??
Sijui chanzo cha tatizo ndo natafuta wataalamu wanisaidieUnaweza kutuambia chanzo cha tatizo?