Ni hospitali gani naweza kupata urologist hapa dar?

mzuluu

Member
Joined
Sep 15, 2014
Posts
68
Reaction score
30
Habari wana Jf..naomba kufahamishwa ni hospitali gani nyingine naweza kupata urologist ukiacha Prof.Yongolo wa Tumaini hospital ambae nimejulishwa kuwa amesafiri na atakuwepo tena kuanzia tarehe 5 February 2018.Tatizo langu halitaweza kusubiri mpaka muda huo na ndio maana nimekuja hapa nipate msaada kujulishwa hospitali zingine ambazo naweza kupata daktari huyo.Nikipata na mawasiliano yake au ya hospitali husika nitashukuru zaidi.
Natanguliza shukrani.
 
wasiliana na Doctors Plaza ya Morocco, unaweza kuwapigia kwa namba yao 0769533797. Pole sana kiongozi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…