Nasikia kitunguu swaumu kinasaidia kunyonya sum ya nyokakumezoeleka mtu aking'atwa na nyoka mguuni,mkononi mtu anafungwa kamba,nguo ili kuzuia sumu kutosambaa.
sasa je,nini cha kufanya endapo mtu aking'atwa maeneo hatarishi kama kichwani,ubavuni n.k
doctors ufafanuzi hapa...
Mmh! Yakweli haya mkuu?Niliambia unaweza ukamkojolea pale alipi ng'atwa.
Je kama ni mama mkwe wako utaweza kutoa hiyo brrrriiiii kwa ajili ya hiyo tiba?!Niliambia unaweza ukamkojolea pale alipi ng'atwa.
Mmmmh hii mpyaNiliambia unaweza ukamkojolea pale alipi ng'atwa.