Nakushauri andike uombe kujitolea, volunteer. Binafsi nilifanya hivyo katika shirika moja na baada ya zaidi ya miezi 6 niliajiriwa na maisha yanasonga. Ukipata nafasi hizi unakuwa na nafsi kubwa ya kujenga mahusiano ya waajiri na waajiriwa toka sehemu nyingine na zaidi unakuwa unasomeka na kufikika, 'ie address'