Ni ipi akili kubwa hapa? Kufungia watu wafe njaa ama kupambana kwa tahadhari watu wale maisha?

Ni ipi akili kubwa hapa? Kufungia watu wafe njaa ama kupambana kwa tahadhari watu wale maisha?

mzalendoalltz

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2015
Posts
828
Reaction score
709
Nimeangalia ndugu zetu hawa wafuata mkumbo nimegundua mengi sana.

Mosi: Kuna wananchi wanadanganywa hapa ati COVID-19 inaongezeka kwa kasi sana, yawezekana hii ikawa ilikuwa janjajanja ya watu fulani kupiga hela.

Pili: ina maana gani unamfungia mtu asiambikizwe COVID-19 ili hali mtu huyohuyo unamnyima chakula na anakufa kwa njaa huku ukiongea kwa majigambo kabisa kuwa my first priority is Kenyans!!!

Kifo ni kifotusidanganyane iwe ni cha njaa COVID ama moto all are deaths. Ama ukimdhoofisha mtu kiuchumi huku ukiwa hata gonjwa hujaliondoa kabisa unamaanisha nn kwa huyu mtu?

Kuwa wakati ikibidi ufike mahala useme nimekosea nisahemehe, na kuna wakati mwingine ukiona mwenzako kafanya jambo zuri umpe credits zake bana. Kenya mnasubiri nn achen kurndelea kuwatesa wananchi bana.

Tatu: Tunaoishi TZ ndio tunaojua raha tunayopata, ukiwa mbali huwezi kuelewa just imagine everything goes on as normal. Tunaoana, mpira twacheza uwanjani no one is dying here.

Tunaomba wakenya muache kujifungia angalau mje mjifunze kwa huyu MWAMBA JPM. Tunawakaribisha sana majirani acheni kiburi naamini damu zetu ni moja kama sisi hatuathiriki kwa kiwango hicho cha wazungu basi nanyi mtakuwa salama.

Jikumbusheni jinsi watu wenu wanavyopata shida, inatia huruma kweli

 
Tupo bize tukiflatten covid 19 curve ,, then kuna bbi ,, tukimaliza ntarudi kukuambia kuwa there's no Corona in Kenya 😶😶😶
 
Kuwa na viongozi wapiga dili ni shida. Hata wanachofanya hakieleweki. Kazi kuwatesa wananchi, shule zimefungwa halafu huku walimu wa shule binafsi wakikaa bila mishahara muda wote huo.
Hivi mpaka leo wanaendelea kupima wananchi?
 
Back
Top Bottom