suzy daniel
Member
- Mar 12, 2014
- 57
- 10
habar wakuu, kwa wanaoufaham vizur mkoa wa geita naomben msaada kuhusu hili,nina lak 5, pesa hiyo nahitaj kuifanyia biashara. sina uzoef wa biashara wara idea kuhusu nifanye biashara gani yenye soko zur kwa mkoa wa geita. nawaombeni msaada wenu.