Ni ipi cream nzuri isiyochubua?

Naomba mnijuze ni aina gani ya cream ni nzuri, kwa maana ya kutokuchubua pia yenye sifa za TFDA, inayomfanya mtu kuwa na very clear skin bila chunusi wala harara huku ikimaintain natural color.

Asanteni.
Shahawaaaaaaaaaaaaaaaaa!
 
Heee kuna siku niliuliza bei kwa mtu akaniambia Laki moja hata nyuma sikugeuka, kisa yanatoka ulaya ...kumbe ndio bei yake?
Sio mbaya lakini urembo gharama. Kuna watu wanapaka mafuta ya laki sita.
Ndio bei yake hiyo yakizidi sana elfu 27.
 
kuna mafuta yanaitwa perfect ni mazuri ila unang'aa kidogo na kangozi kanakua katraaam yani hauwi mweupe ila unakua black cofee with milk sijui unanielewa? ila kwa usoft??? perfect ilimalizaga yote
Samahan unasememea perfect white au
 
Ukishaitwa kilimu lazima ichubue akuna namna kama unataka kilimu kubar uchubuke ili kufikia malengo yako
 
Heee kuna siku niliuliza bei kwa mtu akaniambia Laki moja hata nyuma sikugeuka, kisa yanatoka ulaya ...kumbe ndio bei yake?
Sio mbaya lakini urembo gharama. Kuna watu wanapaka mafuta ya laki sita.
nenda jackies kinondoni sabuni tu ya lemon laki mbili
 
Nimepata kuskia lotion yoyote ikiwa imeandikwa cream iyo ni kichubuzi najiadhari sana izo lotion sasa unavyouliza hivyo naona unauliza kichubuzi kisichochubua
 
Kwa kung'arisha ngozi jipake mafuta ya mawese.... Unaweza kuchanganyia kwenye lotion.
Faida : ngozi inalainika na kung'aa
Changamoto : yanachafua nguo (ule unjano) na yana kaharufu ka mawese (Sio nzuri kiivo)
tehe tehe tehe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…