St Lunatics
JF-Expert Member
- Aug 29, 2015
- 6,644
- 11,174
Mkuu sina uhakika na bei lakini nenda maduka ya vipodozi au supermarket unaipata. bila ya kusahau kuna wauza vipodozi hewa(fake)Asante....Nivea inauzwa bei gani mkuu?! Halafu naona nivea ina range kubwa za creams, cream ipo itakua ni nzuri na bei plz
Wifi we ndo unatumiaga hiyo au siku hizi umeacha?Nilishaitumia haichubui kabisa na inafanya ngozi inakuwa laini
Rafiki yangu anaitumia, kawaida sana kaishia kujutia pesa zake.Jamani kwa mliotumia happy skin ya oriflame naombeni mrejesho ni nzuri??
Nafikiri ahujajibu swali lake, hebu msome tena.Mkuu sina uhakika na bei lakini nenda maduka ya vipodozi au supermarket unaipata. bila ya kusahau kuna wauza vipodozi hewa(fake)
Asante kwa tahadhari. Atoto Mimi Nina ngozi ya kawaida siyo kavu wala si ya mafuta. Nitumie mafuta gani ? Sahivi natumia Qeen Elizabeth lakini naona haileti matokeo mazuri.Rafiki yangu anaitumia, kawaida sana kaishia kujutia pesa zake.
Maybe kuna zinaowakubali.
Kwa hili sina utaalamu sana mama, nisijekukudanganya.Asante kwa tahadhari. Atoto Mimi Nina ngozi ya kawaida siyo kavu wala si ya mafuta. Nitumie mafuta gani ? Sahivi natumia Qeen Elizabeth lakini naona haileti matokeo mazuri.
Shea butter inafaa kwa ngozi ya mafuta?Tumia natural products. Kuna shea butter ni nzuri sana. Ukiitumia utaipenda ngozi yako
If you are worried about your pores getting clogged from applying plant oils to your face, look to carrier oils and butters that have a comedogenic rating of 0, like raw African Shea butter. Shea butter is unique in that it is one of the very few plant oils with a comedogenic rating of 0. Even other popular oils such as Rosehip seed and Tamanu have comedogenic ratings of 1 and 2, making them a little more risky for the already oily inclined.Shea butter inafaa kwa ngozi ya mafuta?
Nitapata wapi original lotion hiyo ya shea butter?na ni bei gani?If you are worried about your pores getting clogged from applying plant oils to your face, look to carrier oils and butters that have a comedogenic rating of 0, like raw African Shea butter. Shea butter is unique in that it is one of the very few plant oils with a comedogenic rating of 0. Even other popular oils such as Rosehip seed and Tamanu have comedogenic ratings of 1 and 2, making them a little more risky for the already oily inclined.
One of the albeit counterintuitive benefits of using the highest quality plant oils, and in this case Shea butter, on your skin is that it actually helps to balance out your skin’s oil production. Whether you run on the dry or the more oily side, applying non-pore clogging raw Shea butter to your skin can help your skin come to a more balanced oil production level unique to your own specific skincare needs.
You can reap the anti aging benefits of raw African Shea butter on your face as well as your body because of its unique non-comedogenic profile. If you have been wanting to try using plant oils on your face but have felt inhibited because of your oily complexion, fear no more. Give our incredible Wildcrafted Raw Shea Butter a try, and you just might find it was exactly what your skin always needed.
Shea butter inafaa kwa ngozi zote. Soma hayo maelezo kama una swali lolote niulize tu
Mimi nauza ambayo ni natural haijachanganywa na kitu. Raw and unrefined. Inatoka Ghana. Nauza 25000 kwa 200 gramsNitapata wapi original lotion hiyo ya shea butter?na ni bei gani?
Mimi haikunipenda,nipata pimples hatari. Ila kuna mdau hapa niliskia anaisifia kuwa ni nzuri.Jamani kwa mliotumia happy skin ya oriflame naombeni mrejesho ni nzuri??
Wanaoisifia wengi wao ni wauzaji ukifuatilia.Mimi haikunipenda,nipata pimples hatari. Ila kuna mdau hapa niliskia anaisifia kuwa ni nzuri.
Mimi pia ilinikataa,nilioata pimples flani zinauma kweli,vipodozi vingi vya oriflame havijanikubali. Labda ile dawa yao ya meno tu.Rafiki yangu anaitumia, kawaida sana kaishia kujutia pesa zake.
Maybe kuna zinaowakubali.
Ni kweli atoto ,majuzi nimeteketeza tena pesa yangu but kipodozi chenyewe kimeniletea shida balaa,halafu hiyo bei ni heart stopping...Wanaoisifia wengi wao ni wauzaji ukifuatilia.
Mie sijui kwanini nafsi ilisita mnooo, sijui na ubahiri wa ualimu khaaah!!! Maana hiyo bei haki nanunua mifuko kadhaa ya simenti, rafiki yangu akanunua hiyo package ya laki2, uwiiii ilimtenda hana hamu, nikabaki nasema 'asante Mungu' maana nahisi ningekuwa ninaumwa sasahivi teh teh teeeeeh!!!Mimi pia ilinikataa,nilioata pimples flani zinauma kweli,vipodozi vingi vya oriflame havijanikubali. Labda ile dawa yao ya meno tu.
Pole sana mama, kuna dada anaziuza alafu yupo softiiiii, ila ni nature yake tu(mbulu) na kumbe hata hatumii hayo mafuta anatumia rinju tu, ila huwa anawadanganya wateja wake hayo ndio anayatumia.Ni kweli atoto ,majuzi nimeteketeza tena pesa yangu but kipodozi chenyewe kimeniletea shida balaa,halafu hiyo bei ni heart stopping...
Mie sijui kwanini nafsi ilisita mnooo, sijui na ubahiri wa ualimu khaaah!!! Maana hiyo bei haki nanunua mifuko kadhaa ya simenti, rafiki yangu akanunua hiyo package ya laki2, uwiiii ilimtenda hana hamu, nikabaki nasema 'asante Mungu' maana nahisi ningekuwa ninaumwa sasahivi teh teh teeeeeh!!!Mimi pia ilinikataa,nilioata pimples flani zinauma kweli,vipodozi vingi vya oriflame havijanikubali. Labda ile dawa yao ya meno tu.
Pole sana mama, kuna dada anaziuza alafu yupo softiiiii, ila ni nature yake tu(mbulu) na kumbe hata hatumii hayo mafuta anatumia rinju tu, ila huwa anawadanganya wateja wake hayo ndio anayatumia.Ni kweli atoto ,majuzi nimeteketeza tena pesa yangu but kipodozi chenyewe kimeniletea shida balaa,halafu hiyo bei ni heart stopping...
Yani hiyo pesa yangu naikumbukaje,huyo dada wakala wa oriflame nimekutaka naye leo tumekata urafiki..Mie sijui kwanini nafsi ilisita mnooo, sijui na ubahiri wa ualimu khaaah!!! Maana hiyo bei haki nanunua mifuko kadhaa ya simenti, rafiki yangu akanunua hiyo package ya laki2, uwiiii ilimtenda hana hamu, nikabaki nasema 'asante Mungu' maana nahisi ningekuwa ninaumwa sasahivi teh teh teeeeeh!!!
Pole sana mama, kuna dada anaziuza alafu yupo softiiiii, ila ni nature yake tu(mbulu) na kumbe hata hatumii hayo mafuta anatumia rinju tu, ila huwa anawadanganya wateja wake hayo ndio anayatumia.
Maybe kuna ambao zinawakubali.
[emoji16] [emoji16] [emoji16] eti mmekata urafiki, alafu hizo bei zao sasa uwiiiiii nafwa!!!Yani hiyo pesa yangu naikumbukaje,huyo dada wakala wa oriflame nimekutaka naye leo tumekata urafiki..
Yani hawa wa oriflame hawana tofauti na forever living,wanasifia bidhaa kwa nguvu nyingi halafu bidhaa yenyewe haina matokeo wanayoyanadi.