Jumakidogo
R I P
- Jul 16, 2009
- 1,851
- 420
Wadau, ni ipi inaweza kuwa dawa nzuri ya kutuliza maumivu makali ya jino kabla ya kuling'oa? Waswahili wanasema dawa ya jino ni kulitoa. Ikiwa unatafuta nafasi nzuri ya kulitoa, dawa ipi inafaa kutuliza maumivu yake?