Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,577
Asante mkuuJani la alovera unakamua maji yake na kuwanywesha
Aweke na pilipiliJani la alovera unakamua maji yake na kuwanywesha
Alovera ni dawa, kata majani yake vipande vidogo vidogo chemsha sana maji yakipoa changanya na maji wanayokunywaHabari wakuu
Naomba mnusaidie kunielekeza dawa ya kutibu mdondo wa kuku. Naomba iwe ya kienyeji bandugu
AsanteAlovera ni dawa, kata majani yake vipande vidogo vidogo chemsha sana maji yakipoa changanya na maji wanayokunywa
AsanteWanyeshwe Pilipili Hao! Baaada Ya Siku 3 Tatu Matokeo Utayaona.
Hapa atapata shida kufanya hilo zoezi la kukamua.Jani la alovera unakamua maji yake na kuwanywesha
Asante mkuuHapa atapata shida kufanya hilo zoezi la kukamua.
Njia rahisi, kata katia jani la alovera vipande vidogo kama vya chips katika maji yaliyopo kwenye chombo chaocha maji.
Good, nitajie na mimi hayo madawa nichanganyeeeMagonjwa ya kuku ni hatari sana kwa wafugaji.
Mimi ninachokifanya, nachanganya madawa yote yaliyofanyiwa utafiti kuwa yanatibu magonjwa ya kuku. Baada ya kuyachanganya nakausha alafu nasaga kupata unga ambao nauchanganya kwenye chakula cha kuku alafu nawapatia kuku wangu. Hii imenisaidia kuondokana na changamoto hizo.
Habari wakuu
Naomba mnusaidie kunielekeza dawa ya kutibu mdondo wa kuku. Naomba iwe ya kienyeji bandugu
Pilipili za aina gani? Pilipili mbuzi au kali?Wanyeshwe Pilipili Hao! Baaada Ya Siku 3 Tatu Matokeo Utayaona.