Ni ipi definition halisi ya Mwanaume wa Dar?

Ni ipi definition halisi ya Mwanaume wa Dar?

TOHATO

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2016
Posts
1,336
Reaction score
4,653
Ukiskia Wanaume wa Dar unaelewaje??
Mana wapo wanaume wanaishi Dar ila hawana hata mwezi(wametoka mkoani) au hana vitabia vya wakazi wa Dar. Je mana ya hili neno linaegemea malezi,tabia,muda wa kukaa dar? au ni kipi has a?
 
👹👹
 
Ukishakuwa na Tabia za umama wewe moja kwa moja ni mwanaume wa dar haijarishi unaishi dar au ulaya.
 
tushawachoka watu wa mikoani
 
familia bora aliyekezwa anayetegemea maamuzi kutoka katika familia na muda mwingi anamsikiliza mama yake hata kwa maamuzi ya familia yake.
anapenda chips na ashikirimu.
mtanashati mpaka anakera wakati sio msanii.
anapenda bata kuliko kazi.
 
Duuuh
 
Wanaume wa dar huwa wanagombana na wanawake kisa wamechukuliana bwana

Yaan dar mwanamme na mwanamke wanamgombania mwanamme
 
Wengi wanavibamia ndio maana tunakula madem zao! Mfano kibamia cha Lekokobanga!Then ni vijamaa flan goi goi tu !
 
Kuna mmoja hapa asubuhi nipo dukani kwa mangi namkuta anakunywa chai kwenye likikombe la plastic na chama,nikamcheka sana kwa aibu ile pakti ya chama akampa mwanangu.
 
Kuna mmoja hapa asubuhi nipo dukani kwa mangi namkuta anakunywa chai kwenye likikombe la plastic na chama,nikamcheka sana kwa aibu ile pakti ya chama akampa mwanangu.

Definition ziko nyingi sana ,, kumbe hadi hii?
 
Wengi wao wanapaka lips zao mafuta na kutinda nyusi zao ila siku hizi wameenda mbali wanavaa vikuku.
 
Back
Top Bottom