👹👹Ukiskia Wanaume wa Dar unaelewaje??
Mana wapo wanaume wanaishi Dar ila hawana hata mwezi(wametoka mkoani) au hana vitabia vya wakazi wa Dar. Je mana ya hili neno linaegemea malezi,tabia,muda wa kukaa dar? au ni kipi has a?
familia bora aliyekezwa anayetegemea maamuzi kutoka katika familia na muda mwingi anamsikiliza mama yake hata kwa maamuzi ya familia yake.
anapenda chips na ashikirimu.
mtanashati mpaka anakera wakati sio msanii.
anapenda bata kuliko kazi.