mbenda said
JF-Expert Member
- Apr 13, 2019
- 1,084
- 2,074
Bado cjakuelewa mkuu, nn faida ya bima ndogo, yaani ninakata bima napata faida gani?Bima ndogo faida ni kwa 3rd party.. yaani mtu utakaemletea madhara kwenye ajali.
Hata kama wewe ama mali yako huijali.. unapaswa uwajali wengine utakaowaletea madhara.. ndio maana sheria ya bima inakulazimisha uwe na 3rd party
Yaani ni hivi kwa mfano unaendesha gari yako halafu ukamgonga mtembea kwa miguu na kumsababishia majeraha au ulemavu huyo mtu,hiyo bima ndiyo itakayomlipa yule mtu uliyemgonga kuhusu matibabu yake na fidia,na pia hata ukigonga chombo kingine kama gari,pikipiki ukawasababishia uharibifu kwenye hivyo vyombo bima ndio itawalipa hao wenye vyombo ulivyogonga.Bado cjakuelewa mkuu, nn faida ya bima ndogo, yaani ninakata bima napata faida gani?
Ni kwel lakn mbona hiyo bima haiwasidii walengwa?Yaani ni hivi kwa mfano unaendesha gari yako halafu ukamgonga mtembea kwa miguu na kumsababishia majeraha au ulemavu huyo mtu,hiyo bima ndiyo itakayomlipa yule mtu uliyemgonga kuhusu matibabu yake na fidia,na pia hata ukigonga chombo kingine kama gari,pikipiki ukawasababishia uharibifu kwenye hivyo vyombo bima ndio itawalipa hao wenye vyombo ulivyogonga.
Wewe uliyemgonga hautawajibika kumlipa yule mtu uliyemgonga hiyo ndio faida yake,ila wewe uliyesababisha ajali haulipwi hata kama gari yako imepata uharibifu.
Nadhani hapo umeelewa sasa
Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app
Mlengwa yupi tena jamani, mlengwa wa third party ni huyo third party sio mkata bima!Ni kwel lakn mbona hiyo bima haiwasidii walengwa?
Nadhani kuna kasheria kandamizi huwa inatufanya tusiwe huru na elimu duni juuu ya bima.Ni kwel lakn mbona hiyo bima haiwasidii walengwa?