Ni ipi hatma ya General Antoine Byangolo Ngondo wa jeshi la Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo?

Ni ipi hatma ya General Antoine Byangolo Ngondo wa jeshi la Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo?

MBOKA NA NGAI

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2025
Posts
350
Reaction score
576
Brigedia General Antoine B. Ngondo; ni mmoja wa wanajeshi wa ngazi ya juu, waliokuwa mashariki ma nchi hiyo, wakati vita vya jeshi la nchi hiyo na kundi la waasi la M23 vimeshamiri.

Baada ya kuzidiwa na waasi, wenzake waliondoka na boti kuelekea Bukavu,kupitia ziwa Kivu. Kwa bahati mbaya, alichelewa na hivyo kubaki Goma. Alipata hifadhi kwenye kambi ya jeshi la UN ambalo ni MONUSCO. Mpaka sasa, MONUSCO ipo katika eneo la M23, hivyo kutokuwa na maamuzi yoyote ya siri bila M23 kuhusishwa.

Swali: Huyu General, hawezi kubaki kwenye kambi ya MONUSCO siku zote. Je, atakabidhiwa kundi la M23 kama mwanajeshi aliyeshindwa na kuweka siraha chini?!

Je, MONUSCO itamkabidhi serikali ya DRC?!
Nini maoni yako kuhusu hili jambo!!!
 
Uzuri m23 wananidhani na wanafuata sheria za vita(Kwa walivyojionyesha mpaka sasa)
 
Back
Top Bottom