Huwezi kupata jibu sahihi mpaka yakukute ndo utaona majibu yake unafirkiri unaweza toa hapa la hasha sababu nasema kuwa maana reaction utayokuwa nayo ndo itakuongoza kutoa uamuzi
umesema kweli ndugu yangu,kawaida majibu unayapata palepale kwenye tukioHuwezi kupata jibu sahihi mpaka yakukute ndo utaona majibu yake unafirkiri unaweza toa hapa la hasha sababu nasema kuwa maana reaction utayokuwa nayo ndo itakuongoza kutoa uamuzi
umesema kweli ndugu yangu,kawaida majibu unayapata palepale kwenye tukio
Kama inawezekana, sijahiti usiende kumfimania mke/mume wako! Ukimkuta live, HUTAMSAMEHE!
WAZEE wa zamani waliyajua hayo. Ndio maana wakati wanarudi nyumbani wakati wa usiku walikuwa wanaimba kuanzia mbali, ili mkewe asikie, na kama kuna kitu, atoe....
Siku hizi tunawasaka wagoni wetu...the world is going around
Habari zenu wana JF, Naomba kuwaulizeni, iwapo umemfumania mkeo/ mumeo na ni mara ya kwanza ni hatua gani nzuri unatakiwa kuichukua. Ni kupokea fidia kutoka kwa MGONI kisha maisha yaende kama kawaida, kuwasamehe wote wawili, kuvunja uhusiano? Au hatua ipi unaona inafaa?
Binafsi upande wangu ndoa inakuwa imefia hapo. Nawasilisha!
Ya kwanza kabisa ni ya kumuomba Mungu akuondolee hasira na maamuzi ya kisasi.
Ya pili ni kuwaweka wote wawili chini na kuwaonya.
Ya tatu ni kuwasamehe.
Fidia itasababisha mkeo aendelee kumegwa kwani tayari utakuwa umepokea mahari kutoka kwa mume mwenzio
pole mkuu kama umefumaniahabari zenu wana jf, naomba kuwaulizeni, iwapo umemfumania mkeo/ mumeo na ni mara ya kwanza ni hatua gani nzuri unatakiwa kuichukua. Ni kupokea fidia kutoka kwa mgoni kisha maisha yaende kama kawaida, kuwasamehe wote wawili, kuvunja uhusiano? Au hatua ipi unaona inafaa?binafsi upande wangu ndoa inakuwa imefia hapo. Nawasilisha!