Ni ipi kati ya Couple hizi imefunika zote?

Duh kumbe izzo bussines anakaa kwa huyo mtoto Abela music dah jamaa kacheza kuliko sio huyo kijana anaehangaika na huyo kikongwe ila pia hao watoto wa arusha nao wako vizur ila mtoto Abela zaid!
Halafu bado anazuga ni washikaji
 
Aika na Nahreel nawakubali sana.
Wanapendana kwelikweli si mchezo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…