Ni ipi kozi nzuri kati ya hizi?

Ni ipi kozi nzuri kati ya hizi?

NUHWAHI

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2014
Posts
306
Reaction score
490
Kwa wataalamu wa IT Na ICT, na masoko jinsi yalivyo. Course ipi ni nzuri?

1 . Web designing
2. Vfx and animation
3. Software and programming languages
4. Tally
5. Cyber security
6. Computer hardware and maintainance
7. Computer hardware anda networking
8.
9.
10.
Ongeza chaguo jingine ikibidi. Tafadhalini wataalam
 
Jamani. Ushauri wenu ni dawa. Karibuni
 
kwa level ipi ? issue ni kupata 'gamba' au ?

kama level ya chini huku , hata zote unapiga

kwa juu una 'speshalaizi' ( unakua 'konk' moja the rest unakua 'shallow shallow' )
 
kwa level ipi ? issue ni kupata 'gamba' au ?

kama level ya chini huku , hata zote unapiga

kwa juu una 'speshalaizi' ( unakua 'konk' moja the rest unakua 'shallow shallow' )
Asante. Ngoja nianzie hapo. Ni level ya chini. Ila nataman kufikia level ya juu
 
ivi course ya vfx na animation inatolewa wapi na vigezo vyake ni vipi!?
 
Back
Top Bottom